Suluhisho za kidijitali kwa biashara zinazokua
Kadi za mialiko, website, apps na mifumo ya usimamizi — pamoja na huduma za mtandaoni kama HESLB, RITA na NIDA. Omba, lipa na ufuatilie kila hatua mahali pamoja.
Gharama wazi kabla ya kulipaFuatilia hali ya ombiKiswahili na English
Huduma zetu
Chagua huduma, tutakutumia gharama ndani ya akaunti yako.
Kadi za Mialiko za KidijitaliKadi za mialiko zenye QR zinazotumwa kwa WhatsApp au SMS, na kuscan mlangoni.Omba
Utengenezaji wa WebsiteWebsite za biashara, shule na taasisi.Omba
Android AppsProgramu za Android kulingana na mahitaji yako.Omba
Windows AppsProgramu za kompyuta kwa biashara yako.Omba
Graphic DesignNembo, mabango, flyers na branding.Omba
MafunzoMafunzo ya kompyuta na ujuzi wa kidijitali.Omba
Mifumo MaalumMifumo ya usimamizi iliyotengenezwa kwa taasisi yako.Omba
Maombi ya Mkopo HESLBMsaada wa kuomba mkopo wa HESLB, rufaa na ufuatiliaji.Omba
Vyeti vya RITAMaombi ya vyeti vya kuzaliwa, kifo na ndoa.Omba
Kitambulisho cha Taifa (NIDA)Usajili wa NIDA, kupata namba na ufuatiliaji.Omba
TRA: TIN na Ritani za KodiUsajili wa TIN na kuwasilisha ritani za kodi.Omba
Usajili wa Biashara BRELAUsajili wa jina la biashara na kampuni.Omba
Matokeo na Vyeti vya NECTAKupata matokeo na maombi yanayohusu vyeti.Omba
Udahili wa Vyuo (TCU / NACTVET)Msaada wa kuomba vyuo vikuu na vya kati.Omba
Ajira Portal na Maombi ya KaziMsaada wa wasifu na maombi ya kazi serikalini.Omba
Pasipoti na e-VisaMsaada wa maombi ya pasipoti na e-Visa.Omba
Leseni ya Udereva na Huduma za GariHuduma za leseni ya udereva na magari mtandaoni.Omba
Huduma za NSSF / PSSSFUsajili wa uanachama na taarifa za michango.Omba
CV, Barua na Kuandika NyarakaKuandika CV, barua za maombi, kuchapa na kutafsiri.Omba
Jinsi inavyofanya kazi
Fungua akauntiDakika moja, bure.
Omba hudumaEleza unachohitaji na pakia nyaraka.
Pokea gharama na ulipeLipa kwa simu au benki, weka namba ya muamala.
Fuatilia hadi imekamilikaPokea matokeo na risiti.
Portfolio
Kazi tulizozifanya.
SC
LiveScanika Digital CardsDigital Invitations
MA
LiveMalela Secondary School websiteWebsiteFungua →
UD
Demo ya ndaniUDOMSA SRM: student records systemCustom
SC
Demo ya ndaniScanika Finance: offline income and expenses (Android)Android App
MU
Demo ya ndaniMultiBiz: business manager (Android)Android App
Mwanzilishi
HA
Hamza Abdul Abed
Full Stack Developer & Teacher, Dar es SalaamNatengeneza website za shule, mifumo ya usimamizi na Android apps, na kuzibuni kama mwalimu anavyopanga somo: wazi, zenye manufaa na zilizotengenezwa kwa watumiaji wake. Nimehitimu B.Ed. (Chuo Kikuu cha Dodoma) na nimefundisha shule za sekondari Tanzania tangu 2023.
HTML5CSS3JavaScriptPHPMySQLSQLiteAndroidREST APIGitUI/UX
CV (PDF)
ENIngiaJisajili